Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Dkt. Athumani R. Mfutakamba akifungua Kongamano la Usafirishaji lilloandaliwa na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) katika hoteli ya Blue Pearl, Ubungo Plaza. Lengo la Kongamano hili lilikuwa kujadili maendeleo, changamoto na matarajio ya Sekta ya Usafirishaji ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
picha za matukio ni chache
ReplyDelete